Friday, 6 April 2018

Matukio mbalimbali ya Waziri Mkuu Bungeni Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma jana.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi,Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (wapili kushoto), Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge), Maimuna Tarishi (wapili kulia) na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu), Profesa Faustin Kamuzora (kulia) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili 5, 2018.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Busega, Dk. Raphael Chegeni kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 5, 2018.


Waziri wa Nchi ya Waziri Mkuu,Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama (kushoto) akiwa na mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 5, 2018.(PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

No comments:

Post a Comment