Tuesday, 10 April 2018

Mkutano wa wafanyakazi Wizara ya Nishati Dar es Salaam

Katibu mkuu wa Wizara ya Nishati, Dk. Hamisi Mwinyimvua ( kulia) akiongoza kikao kilichowkutanisha wadau wa maendeleo na wizara hiyo katika ofisi zake jijini Dar es Salaam.


Katibu mkuu wa Wizara ya Nishati, Dk. Hamisi Mwinyimvua akifuatilia ufafanuzi uliokuwa unatolewa na Kamishna wa Nishati, Mhandisi Innocent Luoga (hayupo pichani) katika kikao hicho.


Sehemu ya washiriki wa kikao hicho wakifuatilia maelekezo yaliyokuwa yanatolewa na katibu mkuu wa Wizara ya Nishati, Dk. Hamisi Mwinyimvua (hayupo pichani).Wataalam wa Idara ya Nishati, wakifuatilia maelekezo yaliyokuwa yanatolewa na katibu mkuu wa Wizara ya Nishati, Dk. Hamisi Mwinyimvua (hayupo pichani).

No comments:

Post a Comment