Friday, 13 April 2018

Mpina awabana watoshaji punda nje ya nchi

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina (katikati) akizungumza na mkurugenzi wa
kiwanda cha kuchinjia Punda Fang Hua, Lifang Yu, kulia ni kaimu mkurugenzi wa uzalishaji wa masoko wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Assimwe Lovince. 


Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina akiangalia zizi la punda na
Mkurugenzi wa Kiwanda cha kuchinjia Punda Fang Hua, Lifang Yu aliye
kushoto kwake. 


Punda kwenye zizi la Kiwanda cha kuchinjia Punda Fang Hua mjini Shinyanga.


Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina (mwenye miwani) katika picha ya pamoja
na watumishi wa Kiwanda cha kuchinjia Punda Fang Hua. (PICHA ZOTE NA JOHN MAPELE). 

No comments:

Post a Comment