Friday, 13 April 2018

Mzee Kikwete Watanzania tunakukumbuka- Rais Magufuli

Rais Dk. John Magufuli akizungumza na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi kabla ya kuzindua rasmi taasisi hiyo isiyo ya Kiserikali ya Jakaya Kikwete (JMKF) Ikulu Dar es Salaam.


Rais Dk. John Magufuli akipigiwa makofi mara baada ya kumaliza kusoma hotuba yake na kuizindua rasmi taasisi hiyo isiyo ya Kiserikali ya Jakaya Kikwete (JMKF) Ikulu jijini Dar es Salaam.


Mwenyekiti wa taasisi hiyo ya (JKMF) Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete akizungumza kabla ya uzinduzi wa taasisi hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimpongeza Mwenyekiti wa Taasisi hiyo ya (JKMF) Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kuizindua.


Rais Dk. John Magufuli akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa taasisi hiyo ya (JKMF),  Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kuizindua. (PICHA NA IKULU)

No comments:

Post a Comment