Friday, 20 April 2018

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango akiwasilisha bungeni kauli kuhusu hoja ya kutooneka sh. trilioni 1.5


Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji amewasilisha bungeni, kauli ya serikali kuhusu hoja ya kutoonekana kwenye matumizi ya Serikali ya sh. trilioni 1.51 ambazo zimekuwa zikidaiwa kupotea.


Dk. Ashatu Kijaji.
No comments:

Post a Comment