Friday, 6 April 2018

Nazi inasaidia kujenga afya ya wazee, watotoMtaalamu wa tiba, lishe na virutubisho, Abdallah Mandai akielezea faida za nazi changa, huku akiwa ameishika moja ya nazi hizo.


NAZI changa, huwa na maziwa yanayoleta afya mwilini hasa kwa watoto na wazee. Ina wingi wa vitamini A, B na E.

Kimsingi maziwa ya nazi hiyo yakitumiwa yanaleta afya ya damu, yana imarisha utumbo, yanafanya viungo viwe na nguvu, yanasaidia kazi ya usanisi wa chakula tumboni na kuondoa uchovu katika mwili.

Pia nazi hiyo inasaidia mtu mwenye tatizo la magonjwa ya neva na kuondoa uchovu katika neva, inasaidia kwa mwenye tatizo la mapafu dhaifu, kupungua uzito, inakomesha tatizo la tumbo kuwaka na homa za nje na ndani.

Hata hivyo, mtu anayekabiliwa na tatizo lolote la kitabibu na anataka nazi kuondokana na tatizo lake karibu makao yetu makuu hapo utapata maelezo ya kina ya namna ya kutumia tunda hili ili kupata matokeo bora ya kukabili tatizo lako kiafya.

Mchanganuo huu umeletwa kwako na Mtaalamu wa tiba, lishe na virutubisho, Abdallah Mandai.

Kwa anayesumbuliwa na tatizo lolote la kiafya karibu makao yetu makuu, Ukonga Mongolandege, Dar es Salaam au wasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu +255745900600 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

No comments:

Post a Comment