Tuesday, 3 April 2018

Rais Dk. John Magufuli akipokea ndege mpya ya tatu aina ya Bombardier dash 8Q400

Ndege mpya ya Shirika la ndege la ATCL aina ya Bombardier Q400 ikiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam jana.

Ndege mpya ya Shirika la ndege la ATCL aina ya Bombardier Q400 ikiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere huku ikipewa heshma ya  kumwagiwa maji(water salute) mara baada ya kutua.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli akizungumza wakati wa uzinduzi wa ndege ndege mpya ya Shirika la ndege la ATCL aina ya Bombardier Q400 mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.

Rais Dk. John Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli, viongozi mbalimbali wa dini na Serikali akikata utepe kuashiria uzinduzi wa ndege mpya ya Shirika la ndege la ATCL aina ya Bombardier Q400 mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.

Marubani walioileta ndege mpya ya Shirika la ndege la ATCL aina ya Bombardier Q400 kutoka Canada (wawili waliosimama kulia) na marubani na wahudumu wa ATCL mara baada ya kuwasili kwa ndege hiyo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Rais Dk. John Magufuli akiwa na viongozi wa dini na wa ATCL wakiwa ndani ya ndege mpya ya Shirika la ndege la ATCL aina ya Bombardier Q400 mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Rais Dk. John Magufuli akiwashukuru Balozi wa Tanzania nchini Canada Jack Zoka, Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Profesa Sifuni Mchome na marubani walioileta ndege mpya ya Shirika la ndege la ATCL aina ya Bombardier Q400 mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Rais Dk. John Magufuli akipongezwa na Mwenyekiti wa Jumuia ya wakala wa Safari (Tasota) Mustapha Khatawa kwa kuwasili ndege mpya ya Shirika la ndege la ATCL aina ya Bombardier Q400 katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.

No comments:

Post a Comment