Friday, 6 April 2018

Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na marubani Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam


Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na marubani wa ndege ya abiria ya ATCL kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wakati akielekea kupanda ndege hiyo kuelekea mkoani Kilimanjaro na badaye mkoani Manyara kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kitaifa mkoani humo.


Rais Dk. John Magufuli akipanda ndege hiyo ya abiria ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kuelekea mkoani Kilimanjaro na baadaye mkoani Manyara. 

No comments:

Post a Comment