Friday, 13 April 2018

Rais Dk. John Magufuli akizindua rasmi Jakaya Mrisho Kikwete Foundation

Msanii anayechipukia  Goodluck Gozbert akitumbuiza wimbo wake maarufu wa "Hauwezi Kushindana" kwenye hafla ya uzinduzi wa Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam Jumatano Aprili 11, 2018.


Rais mstaafu Jakaya Kikwete akimpongeza msanii anayechipukia  Goodluck Gozbert baada ya kutumbuiza wimbo wake maarufu wa "Hauwezi Kushindana" kwenye hafla ya uzinduzi wa Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam Jumatano, Aprili 11, 2018


Mshauri mwelekezi wa JMKF Aisha Sykes akiwa na mwezeshaji Aidan Eyakuze wakifanya mawasilisho ya mpango mkakati wa tasisi hiyo kwenye hafla ya uzinduzi wa Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam, Jumatano Aprili 11, 2018


Rais mstaafu Jakaya Kikwete akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu, jijini Dar es Salaam Jumatano Aprili 11, 2018.


Wageni waalikwa wakimsikiliza Rais mstaafu Jakaya Kikwete akizungumza kwenye hafla hiyo ya uzinduzi wa Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu, jijini Dar es Salaam Jumatano, Aprili 11, 2018.


Wageni waalikwa wakimsikiliza Rais mstaafu Jakaya Kikwete akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam Jumatano ,Aprili 11, 2018 Wajumbe wa Baraza la wadhamini wa JMKF wakiwa katika hafla hiyo.


Rais mstaafu Jakaya Kikwete akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam Jumatano, Aprili 11, 2018.


Wageni waalikwa wakimpigia makofi  Rais mstaafu Jakaya Kikwete baada ya kuzungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam Jumatano, Aprili 11, 2018


 Mgeni rasmi Rais Dk. John Magufuli akipeana mkono na Rais mstaafu Jakaya Kikwete baada ya kuhutubia hafla ya uzinduzi wa Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete, Ikulu jijini Dar es Salaam, Jumatano Aprili 11, 2018.


Rais Dk. John Magufuli akiteta jambo na Rais mstaafu Jakaya Kikwete  katika hafla ya uzinduzi wa Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete, Ikulu jijini Dar es Salaam, Jumatano Aprili 11, 2018


Rais Dk. John Magufuli akihutubia katika hafla ya uzinduzi wa Jakaya Kikwete Foundation (JMKF) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam, Jumatano Aprili 11, 2018.


Rais Dk. John Magufuli akihutubia katika hafla ya uzinduzi wa Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu ,jijini Dar es Salaam Jumatano, Aprili 11, 2018.


Rais wa Dk. John Magufuli akihutubia katika hafla ya uzinduzi wa Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam Jumatano Aprili 11, 2018. wengine meza kuu kutoka kushoto ni Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete, Rais mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mtendaji Mkuu wa taasisi hiyo, Omari Issa.


Meza kuu ikimsikilia mjumbe wa Baraza la Wadhamini wa taasisi hiyo William Mahalu akitoa neno la shukrani baada ya  uzinduzi wa Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam Jumatano Aprili 11, 2018


Mgeni rasmi Rais Dk. John Magufuli na Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan wakimsikiliza  mjumbe wa baraza la wadhamini wa JMKF Genevieve Sangudi akitoa shukrani baada ya uzinduzi rasmi wa taasisi ya  Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam Jumatano Aprili 11, 2018.Mgeni rasmi Rais Dk. John Pombe Magufuli akipeana mkono na  mjumbe wa baraza la wadhamini wa JMKF Genevieve Sangudi  baada ya kushukuru kwa uzinduzi rasmi wa taasisi ya  Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam Jumatano, Aprili 11, 2018.


Mgeni rasmi RaisDk. John Magufuli na Rais mstaafu Jakaya Kikwete wakisalimiana na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama baada ya kuzindua rasmi taasisi ya  Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam, Jumatano Aprili 11, 2018.


 Mgeni rasmi Rais Dk. John Magufuli na Rais mstaafu Jakaya Kikwete wakisalimiana na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama baada ya kuzindua rasmi taasisi ya  Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam, Jumatano Aprili 11, 2018.


Mgeni rasmi Rais Dk. John Magufuli na Rais mstaafu Jakaya Kikwete wakisalimiana na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama baada ya kuzindua rasmi Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete, Ikulu jijini Dar es Salaam, Jumatano Aprili 11, 2018.


Rais mstaafu Jakaya Kikwete akisalimiana na mbunge wa Chalinze  Ridhiwani Kikwete baada ya uzinduzi rasmi wa Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam Jumatano, Aprili 11, 2018.


Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Miraji Kikwete baada ya uzinduzi rasmi wa taasisi ya  Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam Jumatano.


Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete akisalimiana na wanafamilia yake baada ya uzinduzi rasmi wa Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam, Jumatano Aprili 11, 2018.


Mgeni rasmi Rais Dk. John Magufuli na Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Dk. Jakaya Kikwete wakiongea jambo na Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete na Miraji Kikwete baada ya kuzindua rasmi Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam, Jumatano Aprili 11, 2018.


Mgeni rasmi Rais Dk. John Magufuli na Rais Mmtaafu wa Awamu ya Nne Dk. Jakaya Kikwete pamoja na makamu wa Rais wakiondoka ukumbini baada ya kuzindua rasmi Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam, Jumatano Aprili 11, 2018.


Mgeni rasmi Rais Dk. John Magufuli na Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete pamoja na makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Augustine Mahiga pamoja na Waziri wa Afya, Ummy Mwlimu katika picha ya pamoja na wake wa viongozi baada ya uzinduzi rasmi wa Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete, Ikulu jijini Dar es Salaam, Jumatano Aprili 11, 2018.


Mgeni rasmi Dk. John Magufuli na Rais mstaafu wa Awamu ya Nne,  Jakaya Kikwete pamoja na makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akipokea CD kutoka kwa msanii Goodluck Gozbert  baada ya uzinduzi rasmi wa  Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam, Jumatano Aprili 11, 2018.


Mgeni rasmi Rais Dk. John Magufuli na Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Dk. Jakaya Kikwete pamoja na makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan wakielekea kupata chakula cha jioni  baada ya uzinduzi rasmi wa Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam, Jumatano Aprili 11, 2018.


Mgeni rasmi Rais Dk. John Magufuli na Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Kikwete pamoja na makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan wakizungumza na mjumbe wa baraza la wadhamini wa JMKF Genevieve Sangudi baada ya uzinduzi rasmi wa Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF), katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam Jumatano Aprili 11, 2018.


Mgeni rasmi Rais Dk. John Magufuli na Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Dk. Jakaya Kikwete pamoja na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan wakiwakaribisha mabalozi kwa chakula cha jioni  baada ya uzinduzi rasmi wa Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam, Jumatano Aprili 11, 2018.


Wanafamilia wa JK wakiwa katika chakula cha jioni baada ya uzinduzi rasmi wa taasisi ya  Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam Jumatano Aprili 11, 2018.


Rais Dk. John Magufuli akiwa na  Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Dk. Jakaya Kikwete, Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mtendaji Mkuu wa taasisi hiyo,  Omari Issa


Wageni waalikwa wakiwa katika chakula cha jioni baada ya uzinduzi rasmi wa taasisi ya  Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF), katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam Jumatano Aprili 11, 2018.

Wageni waalikwa wakiwa katika chakula cha jioni baada ya uzinduzi rasmi wa taasisi ya  Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam, Jumatano Aprili 11, 2018.


Wageni waalikwa wakiwa katika chakula cha jioni  baada ya uzinduzi rasmi wa Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF), katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam Jumatano Aprili 11, 2018.


Wake za viongozi wakiwa katika chakula cha jioni  baada ya uzinduzi rasmi wa taasisi ya  Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam Jumatano Aprili 11, 2018.


Mgeni rasmi Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Mama Sitti Mwinyi  baada ya uzinduzi rasmi wa Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF), katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam, Jumatano Aprili 11, 2018.


Mgeni rasmi Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Balozi Ombeni Sefue  baada ya uzinduzi rasmi wa Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam, Jumatano Aprili 11, 2018


Mgeni rasmi Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na mjumbe wa baraza la wadhamini, Abubakar Bakhressa baada ya uzinduzi rasmi wa Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam, Jumatano Aprili 11, 2018.


Mgeni rasmi Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na ofisa ubalozi wa Kuwait nchini, Mohammad Rashidi Alamiri baada ya uzinduzi rasmi wa Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam, Jumatano Aprili 11, 2018.


Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na wake wa viongozi wakizungumza na mjumbe wa baraza la wadhamini wa JMKF baada ya hafla ya uzinduzi wa Jakaya Kikwete Foundation (JMKF) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam, Jumatano Aprili 11, 2018.


Mgeni rasmi Rais, Dk. John Magufuli akaigana na Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Dk. Jakaya Kikwete baada ya hafla ya uzinduzi wa Jakaya Kikwete Foundation (JMKF) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam Jumatano Aprili 11, 2018. (PICHA NA IKULU).

No comments:

Post a Comment