Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan (kulia) akisalimiana na kisha kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (Unicef)
nchini, Maniza Zaman aliyefika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es
Salaam jana. (PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)
No comments:
Post a Comment