Saturday, 14 April 2018

Samia Suluhu Hassan afanya mazungumzo na balozi wa Japan

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na na Balozi wa Japan nchini, jana Ikulu jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment