Wednesday, 4 April 2018

Serikali yaahidi kuboresha michezo

Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Makwaia Makani akizungumza kwenye tafrija ya kuwaaga wachezaji wa timu ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH),  timu ya Wizara ya Afya  Zanzibar, Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (Moi) na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas) baada ya timu hizo kushiriki tamasha la michezo ya Pasaka 2018. 
Baadhi ya wachezaji na wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wakimsikiliza Mkurugezi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Makani hayupo pichani wakati akizungumza nao. 

Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Kitengo cha Utafiti- Zanzibar, Hamisi Rashidi  Mohamed akizungumza kwenye tafrija ya kuwaaga wachezaji wa timu ya Wizara ya Afya Zanzibar na Timu ya Michezo ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Makwaia Makani na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Kitengo cha Utafiti- Zanzibar, Hamisi Rashidi  Mohamed akiwa kwenye picha ya pamoja na wachezaji wa timu hizo baada ya kumalizika kwa tafrija hiyo.

No comments:

Post a Comment