Tuesday, 10 April 2018

Tamko la serikali kuhusu watumishi walioondolewa kwenye mfumo wa malipo.

Serikali imetoa kauli kuhusu watumishi walioondolewa kwenye mfumo wa malipo ya mshahara kwa kukosa sifa ya cheti cha kufaulu mtihani wa kidato cha nne.


No comments:

Post a Comment