Wednesday, 11 April 2018

TRA yakusanya trilioni 11.78


Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imekusanya sh Trilioni 11.78 katika kipindi cha miezi tisa ya mwaka wa fedha 2017/18 kuanzia Julai 2017 hadi Machi 2018, ikilinganishwa na sh. trilioni 10.86 ambazo zilikusanywa katika kipindi cha mwaka wa fedha 2016/17, ambacho ni sawa na ongezeko la asilimia 8.46. 


No comments:

Post a Comment