Mtaalamu wa tiba, lishe na virutubisho, Abdallah Mandai akifafanua jambo wakati akizungumzia umuhimu wa jamii kujenga tabia ya tumia asali mara kwa mara ili kujikinga na maradhi mbalimbali.
ASALI
ni chakula kilichoko katika hali ya kimiminika. Inafanya kazi ya kuponya
maradhi mengi na kuongeza damu kwa watu wenye tatizo hilo.
Asali
ina faida nyingi ikiwemo kulainisha majipu na kuondoa usaha, kutuliza maumivu
ya tumbo na kusaidia usanisi wa chakula tumboni.
Kimiminiko
hicho pia kinasaidia maradhi ya kifua na mapafu, husaidia matatizo ya kidonda
cha wazi, matumizi ya asali kijiko kimoja kila asubuhi kabla ya mlo inasaidia utumbo
ufanye kazi yake vizuri.
Hata
hivyo, unapokabiliwa na tatizo linalohitaji matumizi ya asali, ni vema ukaja
makao yetu makuu ili kupata maelezo ya kina ya namna ya kutumia asali ili kutoa
matokeo bora.
Mchanganuo
huu umeletwa kwako na Mtaalamu wa tiba, lishe na virutubisho, Abdallah Mandai.
Kwa anayesumbuliwa na tatizo lolote la kiafya
karibu makao yetu makuu, Ukonga Mongolandege, Dar es Salaam au wasiliana na
Mtaalam Mandai kwa simu
+255745900600 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.
No comments:
Post a Comment