Tuesday, 3 April 2018

Tumia nanasi kupambana na maradhi ya tumbo


Nanasi

MAGONJWA ya tumbo likiwemo bandama, ini na maradhi ya utumbo mwembamba pamoja na vidonda vya midomo na magonjwa ya koo yanaweza kutibiwa kwa kula nanasi kwa wingi.

Wataalamu wanasema nguvu ya nanasi kutibu maradhi hayo inatokana na wingi wa vitamin A, B na C pamoja na madini ya chuma, calcium, manganes, copper na phosphorus yalimo kwa wingi ndani ya tunda hilo.

Tunda hili husaidia pia kutengeneza damu na mifupa, meno, neva na misuli. Linasaidia pia kinamama wanaonyonyesha huku wakikabiliwa na tatizo la kutoa maziwa machache na wale wenye ujauzito ni vema watumie nanasi.

Tatizo la kupoteza kumbukumbu na maradhi ya akili (mental diseases) yanaweza kuondoka kutokana na matumizi ya tunda hilo tamu linalostawi katika maeneo ya joto na rutuba ya kutosha.

Nanasi pia linasaidia kudhibiti matatizo fulani ya kike ambayo husababishwa na upungufu wa shughuli za hormones au makosa fulani katika sehemu ya yai.

Hali ya kukosa mori, kikohozi, kutetemeka na pia kuwa na woga wa mara kwa mara na ugonjwa wa athma unaweza kuondoka kwa kutumia nanasi.

Hata hivyo, mtu anayekumbwa na tatizo la kiafya ni vema aje ofsini kwetu ambapo atapata maelezo ya kina ya namna ya kutumia nanasi na matunda mengine kulinda afya.

Mchanganuo huu umeletwa kwako na Mtaalamu wa tiba, lishe na virutubisho, Abdallah Mandai.

Kwa anayesumbuliwa na tatizo lolote la kiafya karibu makao yetu makuu, Ukonga Mongolandege, Dar es Salaam au wasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu +255745900600 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

No comments:

Post a Comment