Thursday, 12 April 2018

Washiriki mafunzo ya tathmini ya mazingira katika miradi ya barabara yanayoendelea mjini Morogoro


Wahandisi na mafundi sanifu wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya mafunzo ya tathmini ya mazingira katika miradi ya barabara, yanayoendelea mjini Morogoro.


Mhandisi Melania Sangeu akiwasisitiza jambo washiriki wa mafunzo ya tathmini ya mazingira katika miradi ya barabara,yanayoendelea mjini Morogoro,ambao ni waandisi wa mafundi sanifu.
Mhandisi Chacha Harun,akisisitiza jambo wakati wa mafunzo ya tathmini ya mazingira katika miradi ya barabara kwa mafundi sanifu yanayoendelea mjini Morogoro.
Washiriki wa mafunzo ya tathmini ya mazingira katika miradi ya barabara yanayoendelea mjini Morogoro wakimsikiliza mmoja wa watoa mada Mhandisi Albina John (hayupo Pichani) wakati wa mafunzo hayo.

No comments:

Post a Comment