Spika wa Bunge,
Job Ndugai (kushoto) akizungumza na mgeni wake balozi wa Uganda nchini, Richard
Mabonero alipomtembelea jana ofisini kwake mjini Dodoma.
Spika wa Bunge,
Job Ndugai (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Balozi wa
Uganda nchini, Richard Mabonero baada ya mazungumzo alipomtembelea jana ofisini kwake mjini
Dodoma.
Makatibu wakuu,
manaibu makatibu wakuu, Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG, wakurugenzi
wa wizara ofisi ya Rais tawala za mikoa na Serikali za mitaa na ofisi ya Rais,
menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora na taasisi mbali mbali zilizo
chini ya wizara hizo wakifuatilia uwasilishwaji wa hotuba za wizara zao
zilizowasilishwa jana Aprili 11, 2018 bungeni mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment