Saturday, 7 April 2018

Ziara ya makamu wa rais Samia Suluhu Hassan visiwani Zanzibar


Makamu wa rais ambaye ni mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan akishiriki ujenzi wa Tawi la chama hicho Mtende Mndo, Makunduchi mkoa wa Kusini Unguja.


Makamu wa rais ambaye ni mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, Samia Suluhu Hassan akimpokea katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),  mkoa wa Kusini Unguja, Ali Othman Shomari aliyejiunga CCM jana wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa Tawi la CCM Mtende Mndo, Makunduchi mkoa wa Kusini Unguja.

No comments:

Post a Comment