Wednesday, 2 May 2018

Dakta Ali Mohamed Shein alivyoshiriki sherehe za kilele cha siku ya wafanyakazi duniani, Wete Pemba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein akipokea maandamano ya wafanyakazi wa Serikali na sekta binafsi katika sherehe za kilele cha maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani zilizofanyika jana katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete, mkoa wa Kaskazini Pemba


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na viongozi wengine wakinyanyua mikono juu wakati wakiimba wimbo maalumu wa mshikamano katika sherehe za kilele cha maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani zilizofanyika jana katika ukumbi wa baraza la wawakilishi Wete, mkoa wa Kaskazini Pemba.Baadhi ya viongozi na wafanyakazi wakinyanyua mikono juu wakati wakiimba wimbo maaluma wa mshikamano katika sherehe za kilele cha maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani zilizofanyika jana katika ukumbi wa baraza la wawakilishi Wete, mkoa wa Kaskazini Pemba, mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).

 
Baadhi ya viongozi na wafanyakazi wakiwa katika sherehe za kilele cha maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani zilizofanyika jana katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete, mkoa wa Kaskazini Pemba, mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).


Wananchi wakiwa wamejifunika Mvua wakati walipokuwa wakiingika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete, mkoa wa Kaskazini Pemba, katika sherehe za kilele cha maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani zilizofanyika jana ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani). Wafanyakazi katika sekta mbali mbali wa serikali na sekta binafsi wakipita kwa maandamano mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba.Wafanyakazi mbali mbali wa Serikali na sekta binafsi wakipita kwa maandamano mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika sherehe za Kilele cha maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani zilizofanyika jana katika ukumbi wa baraza la wawakilishi Wete, mkoa wa Kaskazini Pemba.Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakipita kwa maandamano mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika sherehe za kilele cha maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani zilizofanyika jana katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete, mkoa wa Kaskazini Pemba.Wafanyakazi wa ofisi ya makamu wa Pili wa Rais wakipita kwa maandamano mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika sherehe za kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika jana katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete, mkoa wa Kaskazini Pemba.Wafanyakazi wa Wizara ya Katiba, Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakipita kwa maandamano mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika sherehe za kilele cha maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani zilizofanyika jana katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete, mkoa wa Kaskazini Pemba. (PICHA NA IKULU YA ZANZIBAR).

No comments:

Post a Comment