Thursday, 17 May 2018

Funga ina faida za kimwili na kiroho

UZOEFU unaonesha kuwa siku ya kwanza hadi ya tatu ya Funga ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, mfungaji anaweza kujisikia kizunguzungu, kutapika na mapigo ya moyo kwenda mbio. Baada ya siku hizo mwili unazoa na hali hiyo inaondoka.

Baadhi ya watu wanapokutwa na hali hiyo hutamani kula au kunywa. Hali hiyo inakuja kwa kuwa sumu na sukari visivyohitajika mwilini vinaungua na kuucha mwili katika afya inayotakiwa. Kumbuka kuwa tunapofunga tunapata faida mbili za kimwili na kiroho.

No comments:

Post a Comment