Friday, 4 May 2018

Idadi ya watalii walioingia nchini imeongezeka - Ripoti

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Meja Generali, Gaudence Milanzi (katikati) akizungumza na wanahabari wakati wa uzinduzi wa taarifa ya takwimu za watalii nchini kwa mwaka 2017 inayoonesha wameongezeka kutoka milioni 1.2 mwaka 2016 hadi milioni 1.3 mwaka 2017.  Kulia ni Kamishna wa Idara ya Uhamiaji, Hannelore Manyanga na kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Takwimu ya Taifa (NBS) Dk. Albina Chuwa.


Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Utalii wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Deograsius Mdamu akizungumza na wanahabari kuhusu kukua kwa kasi kwa utalii wa fukwe na jinsi idara ilivyojipanga kuimarisha fukwe zilizopo nchini wakati wa uzinduzi wa taarifa ya takwimu za watalii nchini kwa mwaka 2017, inayoonesha kuongezeka kutoka milioni 1.2 mwaka 2016 hadi 1.3 mwaka 2017.


Mkurugenzi msaidizi wa Idara ya Utalii, Paskas Mwiru (katika) akiwa pamoja na wajumbe wa kamati ya kutathmini takwimu za watalii wakati wa uzinduzi wa taarifa ya takwimu ya watalii waliokuja nchini kwa mwaka 2017, uliofanyika jana Dar es Salaam.


Baadhi ya wadau wa sekta ya utalii wakiwa kwenye kikao cha uzinduzi wa taarifa ya takwimu ya watalii waliokuja nchini mwaka 2017 huku ikionesha wameongezeka kutoka milioni 1.2 mwaka 2016 hadi milioni 1.3 mwaka jana. Kikao hicgo kilichofanyika jana Dar es Salaam.
  

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Utalii, Deograsius Mdamu (wa kwanza kushoto) akiwa pamoja na wadau wa sekta ya utalii  wakifuatilia uzinduzi wa taarifa ya takwimu ya watalii waliokuja nchini kwa mwaka 2017. Taarifa hiyo inaonesha watalii wameongezeka kutoka milioni 1.2 mwaka 2016 hadi milioni 1.3 mwaka jana. (PICHA NA LUSUNGU HELELA – MNRT)

No comments:

Post a Comment