Wednesday, 9 May 2018

Ijue nguvu ya mizizi ya miwa kwa tatizo la nguvu za kiume


Kilimo cha muwa ambapo mizizi ya mmea huo inasaidia tatizo la upungufu wa nguvu kiume


MUWA ni mmea unaostawishwa katika nchi za tropiki ambao asili yake ni Asia ya Mashariki. Kilimo cha mmea huu kwa sehemu kubwa ni kwa ajili ya sukari kwa matumizi ya binadamu.

Hata hivyo, wakati watu wengi wakifahamu muwa/miwa ni kwa ajili ya kutengengezea sukari pekee, mizizi yake ni tiba nzuri kwa wanaume wanaokabiliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.
                                                      Tatizo hilo ambalo husababishwa na mambo mengi kama kuzaliwa nalo, kufanya kazi kwa muda mrefu, maradhi ya moyo, kisukari na nguvu za giza linaweza kutibiwa kwa mizizi ya miwa.

Namna ya tumia

Chukua mizizi ya miwa kiasi cha ujazo wa mkono mmoja, ichanganye na vipande vilivyokatwa vidogovidogo vya kitale na maji ya dafu, kisha vichemshe jikoni kwa muda wa dakika 15, ipua kisha kunywa glasi moja asubuhi na jioni.

Unaweza kutumia tiba hii kwa muda wa wiki mbili hadi mwezi. Ni tiba nzuri kwa mwenye tatizo hilo.

Tiba hii pia inasaidia kushusha mapigo ya moyo kwa wenye tatizo la maradhi hayo, inasaidia kwa wanaosumbuliwa na kihalusi na inarekebisha kiwango cha sukari mwilini.

Kwa mwenye tatizo asisite kuja makao yetu makuu ambapo utapata maelezo ya kina ya namna sahihi ya kutumia mchanganyiko huu ili kuondokana na tatizo lako la nguvu za kiume.

Mchanganuo huu umeletwa kwako na Mtaalamu wa tiba, lishe na virutubisho, Abdallah Mandai.

Kwa anayesumbuliwa na tatizo lolote la kiafya karibu makao yetu makuu, Ukonga Mongolandege, Dar es Salaam au wasiliana na Mtaalam Mandai kwa simu +255745900600 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com ili kupata ushauri au virutubisho vyetu.

No comments:

Post a Comment