Thursday, 24 May 2018

Ijue nguvu ya ubani mweupe na mvuje katika kutibu kisukari


UGONJWA wa kisukari ambao ni miongoni mwa magonjwa yasiyo ambukiza, umekuwa tishio miongoni mwa familia nyingi baada ya kuathiri wanajamii wengi.

Waathirika wa kisukari wamekuwa wakikabiliwa na athari mbalimbali kama kwenda haja ndogo mara kwa mara, uchovu wa mwili mzima, macho kupoteza nuru na hata kifo.

Zipo tiba za aina nyingi zinazosaidia maradhi hayo lakini ubani mweupe na mvuje vimeonesha mafanikio makubwa katika tiba ya kisukari.

Chemsha ubani mweupe na mvuje kisha kunywa glasi moja asubuhi na jioni. Fanya hivyo hadi utakapoona hali imetengamaa. Mchanganyika wa ubani mweupe unasaidia sana kupunguza makali ya kisukari.

Mada hii imeletwa kwako kwa ufupi nami mtaalam wa tiba, lishe na virutubisho, Abdalallah Mandai.

Kwa anayesumbuliwa na tatizo lolote la kiafya, karibu makao yetu makuu Ukonga Mongo la ndege, Dar es Salaam au wasiliana nami kwa simu namba 0745900600 au tembelea tovuti yetu kwa anwani ya www.dkmandai.com ili kuelimika zaidi na masuala ya kiafya. 

No comments:

Post a Comment