Friday, 11 May 2018

Katibu mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Profesa Kitila Mkumbo akikagua jengo la wizara hiyo jijini Dodoma kabla ya kuhamia katika kipindi miezi 12 ijayo

Katibu Mkuu, Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Prof. Kitila Mkumbo akikagua mazingira ya kazi jijini Dodoma pamoja na Mkurugenzi wa kampuni ya  ujenzi ya Nandhra Daman Singh Nandhra.

 Hili ndilo jengo la Wizara ya Maji na Umwagiliaji lililoko Dodoma kabla ya kazi ya kukamilisha ujenzi wa mwisho ili lianze kutumika.

Katibu Mkuu, Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Prof. Kitila Mkumbo akikagua jengo hilo.

Katibu Mkuu, Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Prof. Kitila Mkumbo akikabidhi mkataba mapema jana jijini Dodoma kwa Mkurugenzi wa kampuni ya  ujenzi ya Na Nandhra, Daman Singh Nandhra ili kuanza kazi.


Katibu Mkuu, Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Prof. Kitila Mkumbo akizungumza na baadhi ya wafanyakazi walioshuhudia mkandarasi akikabidhiwa kazi ya kukamilisha jengo la wizara yao lililopo Dodoma.

No comments:

Post a Comment