Friday, 18 May 2018

Kifafa cha mtoto hakisababishwi na upepo tumia miatisai



KIFAFA ni ugonjwa unaowapata watu wa rika zote huku chanzo chake kitaalamu ni ubongo kukosa glukosi na hewa ya oksijeni.

Katika baadhi ya makabili hapa nchini, mtoto akipata tatizo hilo, inazuka dhana kuwa kapitiwa na upepo au mdudu kwa maana ya jini.

Wakati huo mzazi hukumbwa na taharuki kubwa huku akihangaika namna ya kumwezesha mtoto wake kuondokana na tatizo hilo.

Hata hivyo, uzoefu inaonesha kuwa mara nyingi kabla mtoto hajakumbwa na kifafa (degedege), huugua kwanza homa baridi kama malaria na anapokosa tiba stahiki ndipo hukumbwa na tatizo hilo.

Mtaalam wa tiba, lishe na virutubisho, Abdallah Mandai anasema baadhi ya matabibu wa tiba asili mara nyingi wamekuwa wakiwaaminisha watu dhana hiyo ya kuwa mtoto anakuwa amepitiwa na mdudu.

Anasema tatizo hilo linaweza kumalizwa kwa kutumia miatisai. Au andaa changanyiko wa mafuta ya samaki, utumbo wake, maini yake na matamvua.

Weka ndani ya chombo ambacho hakipitishi hewa ukae humo ndani ya siku 44 kisha utoe, changanya ya mafuta ya nazi au kitunguu swaumu kisha mpake mtoto utosini, kwenye viungo vyenye mikunjo kama magoti kwa nyuma, kwenye mgongo wa pua na shingoni.

Kwa kuwa maandalizi ya dawa hii yanachukua siku nyingi ni vema mtu akainunua ili kumsuru mtoto kuondokana na tatizo hilo.

Hata hivyo, ikitokea umepatwa na tatizo hilo na jingine lolote la kiafya, karibu makao yetu makuu ambapo utapata maelezo ya kina ya namna ya kuiandaa tiba hii kwa ajili yako au familia yako.

Au unaweza kuwasiliana nami kwa simu namba 0745900600 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

No comments:

Post a Comment