Friday, 11 May 2018

Korodani za mbuzi zinasaidia tatizo la upungufu nguvu za kiume
UWEZO hafifu wa wanaume kufanya tendo la ndoa unatajwa kushamiri miongoni mwa wanandoa na wapenzi wengi.

Hali hiyo inatishia uhusiano wa wapenzi au wanandoa kulegalega na hata kuvunjika kabisa kwa kuwa kushiriki tendo la ndoa kwa ufasaha ni muhimili wa wawili walioko katika uhusiano ya kimapenzi.

Hata hivyo, wakati hali hiyo ikiwakumba watu wengi walioko katika uhusiano wa kimapenzi, korodani za mbuzi na mchanganyiko wa tangawizi, pilipili manga, basibasigeuza, kitunguu swaumu na ubani zukula vinatajwa kuwa ni mujarabu kwa tatizo hilo.

Mchanganyiko huu unamsaidia mwanaume mwenye tatizo la uhaba au ukosefu wa nguvu za kiume kwa kuwa unaongeza kiwango kikubwa cha homoni testosterone ambayo inasaidia kudumu kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa.

Anayetumia tiba lishe hii anaweza kurudia kufanya tendo la ndoa mara mbili hadi tatu bila kujali umri wa mwanaume husika.

Tiba hii hukufanya uwe na nguvu baada ya tendo la ndoa na inakuondolea uchovu. Dawa huwasaidia hata wenye kisukari kubaki katika hali ya kawaida.

Pia inawaweka katika hali ya kawaida wenye presha, madereva na wasafiri wengine. Mchanganyiko huu unajulikana pia kama viagra ya asili.

Namna ya kutumia

Chukua korodani mbili hadi nne changanya na mchanganyiko huo na tumia mara nyingi uwezavyo.

Mchanganuo huu umeletwa kwako na Mtaalamu wa tiba, lishe na virutubisho, Abdallah Mandai.

Hata hivyo, kwa wenye tatizo ni vema akaja makao yetu makuu Ukonga Mongolandege, Dar es Salaam au awasiliane na Mtaalam Mandai kwa ushauri au kujipatia virutubisho tiba vinavyozalishwa na kampuni yetu malidhawa.

Mtaalamu Mandai anapatikana kwa simu +255745900600 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

No comments:

Post a Comment