Tuesday, 1 May 2018

Mafuriko yawaacha bila makazi Wakenya robo milioniRais wa Kenya, Uhuru Kenyatta.

SHIRIKA la Msalaba Mwekundu nchini Kenya limesema watu 100 wamefariki dunia kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa inayoendelea kunyesha nchini humo.
Idadi ya watu ambao wameachwa bila makao imekaribia robo milioni huku shirika hilo likitoa tahadhari kwamba huenda kukazuka magonjwa yanayoenezwa na maji machafu. Maeneo yaliyoathiriwa zaidi ni Tana River na Garissa.
BBC

No comments:

Post a Comment