Monday, 28 May 2018

Mbegu za papai kiboko ya malaria sugu


Chukua mbegu za papai kutoka vipande vya tunda hilo vilivyokatwa.

WAPO watu ambao karibu kila mwezi au baada ya muda fulani lazima wakumbwe na ugonjwa wa malaria.

Ugonjwa huo umekuwa ukijirudia licha ya kuwa kila unapowakumba wamekuwa wakienda hospitali kupatiwa matibabu.

Kuugua mara kwa mara kwa maradhi ya malaria kunaporosha uchumi wa familia kwa kuwa fedha nyingi zinatumika kugharamia matibabu huku mwanafamilia akishindwa kufanya kazi za kumwingizia kipato.

Iwapo ni wewe mwenyewe, mwanao, ndugu au rafiki ana tatizo hilo, tumia mbegu za papai kuondokana nalo.

Chukua mbegu hizo nusu kilo au kilo moja zikaushe vizuri kisha zisage. Tumia kijiko kimoja cha chai cha unga wa mbegu za papai kwenye maji moto ya kikobe cha chai asubuhi na jioni utaondokana na tatizo hilo.

Mada hii imeletwa kwako kwa ufupi nami mtaalam wa tiba, lishe na virutubisho, Abdalallah Mandai.

Kwa anayesumbuliwa na tatizo lolote la kiafya, karibu makao yetu makuu Ukonga Mongo la ndege, Dar es Salaam au wasiliana nami kwa simu namba 0745900600 au tembelea tovuti yetu kwa anwani ya www.dkmandai.com ili kuelimika zaidi na masuala ya kiafya.

No comments:

Post a Comment