Tuesday, 22 May 2018

Mchanganyiko wa ubani unasaidia maradhi yasiyo ambukiza


Mtaalam wa tiba, lishe na virutubisho, Abdallah Mandai akiwa tayari kutoa  ufafanuzi kwa mwanahabari (hayupo pichani) aliyehoji namna gani mgonjwa anaweza kutumia mchanganyiko huo.


MARADHI ya figo, kisukari, uvimbe katika via vya uzazi vya mwanamke na tatizo la sumu mwili ni miongoni mwa magonjwa yanayozigharimu fedha nyingi familia kuyatibu.

Maradhi hayo kasoro uvimbe kwenye via vya uzazi vya mwanamke, tofauti na zamani, sasa yanaweza kuwakumba watu wa rika zote na hivyo kupunguza nguvukazi ya familia na taifa.

Hata hivyo, zipo tiba za aina mbalimbali ambazo zinaweza kuwa msaada kwa waathirika wa maradhi hayo ikiwemo matumizi ya mchanganyiko wa aina mbalimbali za ubani ukiwemo mashtaka, sandarusi, maka, manemane, bakarhad na uwatu.

Aina hizo za ubani changanya pamoja na unga wa basibasi jauza na kamuni aswedi kisha chemsha na maji yake kunywa yanaondoa pia maradhi ya mgolo, kiuno na miguu kufa ganzi pia yanasaidia hedhi kutoka kwa mpangilio unaotakiwa.

Mchanganua huu kwa ufupi umeletwa kwako nami mtaalam wa tiba, lishe na virutubisho, Abdalallah Mandai.

Kwa anayesumbuliwa na tatizo la kiafya, karibu makao yetu makuu Ukonga Mongo la ndege, Dar es Salaam au wasiliana nami kwa simu namba 0745900600 na tembelea tovuti yetu www.dkmandai. com ili kujifunza mambo mengi yanayohusu afya zetu.

No comments:

Post a Comment