Thursday, 24 May 2018

Mvuje, ubani mweupe kiboko kwa maradhi ya kichwa


KICHWA kinachouma mara kwa mara kutokana na sababu mbalimbali kinaweza kuponywa kwa kuvuta moshi unatoka baada ya ubani mweupe na mvuje kuchomwa.

Tiba hii pia inasaidia wale wanaosumbuliwa na kichwa kinasababishwa na matatizo ya majini. Moshi waubani mweupe na mvuje unapochomwa baada ya kuchanganywa unasaidia kuondoa tatizo hilo.

Mchanganua huu umeletwa kwako nami mtaalam wa tiba, lishe na virutubisho, Abdalallah Mandai.

Kwa anayesumbuliwa na tatizo lolote la kiafya, karibu makao yetu makuu Ukonga Mongo la ndege, Dar es Salaam au wasiliana nami kwa simu namba 0745900600 au tembelea tovuti yetu, www.dkmandai.com ili kujifunza mambo mbalimbali yanayohusu afya zetu.

No comments:

Post a Comment