Sunday, 27 May 2018

Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John Magufuli amekutana na kufanya mazunguzo na makamu Mwenyekiti wa CCM -Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein Ikulu Dar es Salaam jana

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein Ikulu,Dar es Salaam.


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. John Magufuli akiwa katika mazungumzo na makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein Ikulu, Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. John Magufuli  akiteta jambo na makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,  Dk. Ali Mohamed Shein baada ya mazungumzo yao Ikulu, Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. John Magufuli akiagana na makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula Ikulu, Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. John Magufuli akiagana na makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein  baada ya mazungumzo yao Ikulu, Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. John Magufuli (katikati) akizungumza jambo na makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula baada ya kumaliza mazungumzo na makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein Ikulu, Dar es Salaam.(PICHA NA IKULU)

No comments:

Post a Comment