Saturday, 12 May 2018

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. John Magufuli akiwa katika ofisi ndogo za chama hicho Lumumba, Dar es Salaam

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula katika ofisi ndogo za CCM Lumumba, Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. John Magufuli akizungumza na makamu Mwenyekiti wa chama hicho Bara, Philip Mangula katika ofisi ndogo za CCM Lumumba, Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. John Magufuli akitoka kwenye ofisi ndogo za CCM Lumumba, Dar es Salaam na makamu Mwenyekiti wa chama hicho (Bara), Philip Mangula pamoja na Katibu Mkuu wa CCM Abdulhaman Kinana.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. John Magufuli akiagana na Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana wakati akiondoka katika Ofisi ndogo za CCM Lumumba Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA IKULU)


MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM)  Dk. John Magufuli ametembelea ofisi ndogo za chama hicho Mtaa wa Lumumba, Dar es Salaam.

Alifanya ziara hiyo mapema jana kuona shughuli mbalimbali za chama hicho zinavyoendeshwa ikiwa ni pamoja na kutembelea ofisi yake ambapo alizungumza na makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula pamoja na Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulhaman Kinana.

No comments:

Post a Comment