Thursday, 24 May 2018

Ondoa mawe katika figo kwa magome ya mlonge


Mti wa mlonge

MARADHI ya mawe katika figo na uvimbe kwenye via vya uzazi yanaweza kumkosesha raha mtu yeyote.

Habari njema ni kwamba magome ya mlonge, bizari, uwatu na ubani mweupe vinasaida kuondoa tatizo hili.

Unachotakiwa kufanya ni kuchemsha mchanganyiko huu kisha kunywa glasi moja asubuhi na jioni hadi tatizo linalokusumbua linapokoma.

Mchanganua huu umeletwa kwako nami mtaalam wa tiba, lishe na virutubisho, Abdalallah Mandai.

Kwa anayesumbuliwa na tatizo la kiafya, karibu makao yetu makuu Ukonga Mongo la ndege, Dar es Salaam au wasiliana nami kwa simu namba 0745900600 au tembelea tovuti yetu kwa anwani www.dkmandai.com utajifunza mambo mengi yanayohusu afya yako.

No comments:

Post a Comment