Saturday, 26 May 2018

Rais Dk. John Magufuli ametana na Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamini Mkapa na wageni wengine jana Ikulu, Dar es Salaam.

Rais Dk. John Magufuli akiwa katika mazungumzo na Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa (kushoto) pamoja na makamu wa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Philip Mangula Ikulu, Dar es Salaam jana.

Rais  Dk. John Magufuli akijadiliana jambo na Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa (kulia) pamoja na makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Phillip Mangula (kushoto) mara baada ya mazungumzo yao Ikulu, Dar es Salaam.


Rais Dk. John Magufuli akijadiliana jambo na Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa (kulia) pamoja na makamu wa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Bara, Phillip Mangula (kushoto) mara baada ya mazungumzo yao Ikulu, Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. John Magufuli akifurahia jambo na Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi (CCM), Dk. Edmund Mndolwa, Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT), Gaudensia Kabaka pamoja na Mwenyekiti wa Jumuia ya Umoja wa Vijana (UVCCM), Herry James baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu, Dar es Salaam jana.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. John Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi (CCM), Dk. Edmund Mndolwa, Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) Gaudensia Kabaka pamoja na Mwenyekiti wa Jumuia ya Umoja wa Vijana(UVCCM), Herry James baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu, Dar es Salaam. 

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dk. John Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi (CCM), Dk. Edmund Mndolwa, Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) Gaudensia Kabaka pamoja na Mwenyekiti wa Jumuia ya Umoja wa Vijana (UVCCM), Herry James baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu, Dar es Salaam. 

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. John Magufuli akiagana na Mwenyekiti wa Jumuia ya Umoja wa Vijana (UVCCM), Herry James baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu, Dar es Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa Umoja wa  Wanawake Tanzania (UWT), Gaudensia Kabaka.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi (CCM), Dk. Edmund Mndolwa baada ya kuwasili Ikulu, Dar es Salaam jana.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. John Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mwenyekiti wa Jumuia ya Umoja wa Vijana(UVCCM), Herry James Ikulu jijini Dar es Salaam jana. (PICHA ZOTE NA IKULU)

No comments:

Post a Comment