Wednesday, 2 May 2018

Serikali mkoani Iringa yamshukuru MagufuliAmina Masenza
Claudia Kayombo

SERIKALI mkoani Iringa imemshukuru Rais Dk. John Magufuli kwa kuipa sh. bilioni 20 kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo.

Mkuu wa mkoa huo, Amina Masenza ametoa shukrani hizo kwa Rais Dk. Magufuli leo Mei 2, 2018 mkoani humo wakati akitambulisha wageni mbalimbali katika hafla ya uzinduzi wa hospitali ya Kilolo.

Amefafanua kuwa fedha hizo zitatumika katika kukamilisha miradi mbalimbali ya ujenzi wa barabara, elimu, maji na afya.

No comments:

Post a Comment