Saturday, 5 May 2018

Shelutete awafunda wanafunzi wa kidato cha sita seminanari ya Agape


Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa), Pascal Shelutete (wa kwanza kulia) akielekezwa jambo na mkuu wa shule ya sekondari ya seminari ndogo ya Agape Mchungaji,Godrick Lyimo alipoalikwa kama mgeni rasmi katika mahafali ya kidato cha sita ya Umoja wa Kikristo wa Wanafunzi Tanzania. Mkuu wa shule ya sekondari ya seminari ndogo ya Agape, mchungaji Godrick Lyimo akitoa maelezo kuhusu shule hiyo kwa mgeni rasmi katika mahafali ya kidato cha sita ya Umoja wa Kikristo wa Wanafunzi Tanzania ambaye pia ni Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa), Pascal Shelutete.
Mgeni rasmi katika mahafali ya kidato cha sita ya Umoja wa Kikristo wa 
Wanafunzi Tanzania ambaye pia ni Meneja Mawasiliano wa Shirika la 
Hifadhi za Taifa (Tanapa), Pascal Shelutete akioneshwa maeneo mbalimbali ya shule ya sekondari ya seminari ndogo ya Agape.Mgeni rasmi katika mahafali ya kidato cha sita ya Umoja wa Kikristo wa Wanafunzi Tanzania ambaye pia ni Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa), Pascal Shelutete akiotesha mti wa kumbukumbu katika moja ya maeneo ya shule hiyo.

Mgeni rasmi katika mahafali ya kidato cha sita ya Umoja wa Kikristo wa Wanafunzi Tanzania ambaye pia ni Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa), Pascal Shelutete akiwafunda wanafunzi wa kidato cha sita wanaohitimu katika shule ya sekondari ya seminari ndogo ya Agape. 


Wahitimu wa Kidato cha Sita katika shule ya Sekondari ya Seminari Ndogo ya Agape wakimsikiliza kwa makini mgeni rasmi katika mahafali hayo ambaye pia ni Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa), Pascal Shelutete (hayupo pichani ) wakati akizungumza.

 


Mgeni rasmi katika mahafali ya kidato cha sita ya Umoja wa Kikristo wa Wanafunzi Tanzania ambaye pia ni Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa), Pascal Shelutete akitunuku vyeti kwa wahitimu hao.


Mgeni rasmi katika mahafali ya kidato cha sita ya Umoja wa Kikristo wa Wanafunzi Tanzania ambaye pia ni Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) Pascal Shelutete akikabidhi zawadi kwa mkuu wa shule ya sekondari ya seminari ndogo ya Agape, Mchungaji Godrick Lyimo.

Mkuu wa shule ya sekondari ya seminari ndogo ya Agape, Mchungaji Godrick Lyimo akikabidhi zawadi kwa mgeni rasmi,Pascal Shelutete. 


Mgeni rasmi katika mahafali ya kidato cha sita ya Umoja wa Kikristo wa 
Wanafunzi Tanzania ambaye pia ni Meneja Mawasiliano wa Shirika la 
Hifadhi za Taifa (Tanapa) Pascal Shelutete akiwa katika picha ya pamoja na wahitimu. 
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Kanda ya Kaskazini.

No comments:

Post a Comment