Saturday, 26 May 2018

Spika Job Ndugai akutana na kuzungumza na Jaji Mkuu, Profesa Ibrahim Juma jana bungeni jijini Dodoma

Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia) akipeana mikono na Jaji Mkuu, Profesa Ibrahim Juma alipomtembelea jana  ofisini kwake jijini Dodoma.


Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia) akiteta jambo na Jaji Mkuu, Profesa Ibrahim Juma (kushoto) alipomtembelea jana Bungeni jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Job Ndugai akiteta jambo na Jaji Mkuu, Profesa Ibrahim Juma alipomtembelea jana ndani ya ukumbi wa Bunge jijini Dodoma. Wengine ni wageni Mbali mbali waliokuja kushuhudia shughuli za Bunge zinavyofanyika.

 Spika wa Bunge, Job Ndugai mwenye suti rangi ya kaki akipunga mikono pamoja na Jaji Mkuu, Profesa. Ibrahim Juma mwenye suti nyeusi baada ya kutambulishwa jana ndani ya ukumbi wa Bunge jijini Dodoma.

 Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia) akizungumza na Jaji Mkuu, Profesa Ibrahim Juma alipomtembelea jana ofisini kwake jijini Dodoma.

Spika wa Bunge,Job Ndugai (kulia) pamoja na Jaji Mkuu, Profesa. Ibrahim Juma wakielekea katika ukumbi wa Bunge jijini Dodoma jana.  (PICHA NA DEONISIUS SIMBA – OFISI YA BUNGE.

No comments:

Post a Comment