Saturday, 26 May 2018

Tezi dume linapona kwa mchanganyiko wa tiba lisheTabibu wa tiba. lishe na virutubisho, Abdallah Mandai

TATIZO la  maradhi ya tezi dume limekuwa likijuliakana zaidi miaka ya hivi karibuni tofauti na ilivyokuwa miaka ya nyuma.

Bila shaka kujulikana kwa ugonjwa huo miongoni mwa wanajamii kumetokana na elimu iliyoenea baada ya serikali, taasisi na mashirika ya kimataifa kufanya hivyo.

Licha ya tiba nyingine, sanamaki, sakabaji, giligilani, haidali na nizantal ni tiba mujarabu kwa tatizo hili. Pia inatibu uvimbe ndani ya tumbo la uzazi na tezi la shingo.

Saga au twanga mchanganyiko huo pamoja, kisha unga wake utumie kijiko kimoja cha chai katika maji moto au uji mwepesi. Unaweza pia kutumia katika asali kijiko cha chai cha unga huo changanya na vijiko vikubwa viwili vya asali.

Huu ni mchanganyiko lishe ambao umeonesha matokeo mazuri katika masuala mazima ya tiba. Mada hii imeletwa kwako kwa ufupi nami mtaalam wa tiba, lishe na virutubisho, Abdalallah Mandai.

Kwa anayesumbuliwa na tatizo lolote la kiafya, karibu makao yetu makuu Ukonga Mongo la ndege, Dar es Salaam au wasiliana nami kwa simu namba 0745900600 au tembelea tovuti yetu kwa anwani ya www.dkmandai.com ili kuelimika zaidi na masuala ya kiafya.

No comments:

Post a Comment