Wednesday, 16 May 2018

Tikitimaji tunda linalozindisha hamu ya kufanya tendo la ndoa kwa mwanamume


Tikitimaji likiwa tayari kuvunwa shambani


TIKITIMAJI ni tunda lenye ladha tamu, linafanana kidogo na tango lenye ladha baridi. Linastawi kwenye eneo lenye udongo wenye rutuba na maji kiasi.

Tunda hili lenye maji zaidi ya asilimia 80, linapendwa na wengi huku walaji hao wasijue kuwa hawali utamu pekee bali pia linawasaidia kuondokana na changamoto mbalimbali za maradhi katika miili yao.

Mbegu za tikitimaji hutibu maradhi ya figo zenye zenye mawe, pamoja na kuondoa sumu mwilini. Mwanaume anapotumia mbegu za tunda hili tamu, zinamwongezea hamu ya kufanya tendo la ndoa kwa muda mrefu zaidi.

Pia juisi ya tikitimaji yenye glucose nyingi, inaongeza uchangamfu kwa anayeitumia wakati ngozi ya yake (ya tunda hilo) ikikaushwa na kupatikana unga, unasaidia kuponya vidonda.

Mchanganua huu umeletwa kwako na mtaalam wa tiba, lishe na virutubisho, Abdalallah Mandai.
Kwa anayesumbuliwa na tatizo la kiafya, karibu makao yetu makuu Ukonga Mongo la ndege, Dar es Salaam au wasiliana na mtaalam Mandai kwa simu namba 0745900600 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com. 

No comments:

Post a Comment