Wednesday, 30 May 2018

Tumia mchaichai kutibu tezi


Mwathiriwa wa tezi la shingo

UPUNGUFU wa madini joto mwilini pamoja na mambo mengine unasababisha matatizo ya tezi. Tezi linaweza jitokeza sehemu yoyote ikiwemo shingoni.
Zipo tiba asili na za kisasa ambapo mwathiriwa anaweza kuondokana na tatizo hilo, binafsi nazungumzia zile asili.

Chukua mchaichai uponde kisha chukua kitamba weka na maji ya uvuguvugu kidogo halafu funga shindoni usiku kucha kila siku ndani ya mwezi mmoja.

Au changanya kizabuni, mwinula, kulo, mafuta ya ng’ombe, mafuta ya samaki, mdalasini na mrehani paka au funga shingoni kwa kitambaa safi muda huo utaondokana na tatizo hilo.

Mada hii imeletwa kwako kwa ufupi nami mtaalam wa tiba, lishe na virutubisho, Abdalallah Mandai.

Kwa anayesumbuliwa na tatizo lolote la kiafya, karibu makao yetu makuu Ukonga Mongo la ndege, Dar es Salaam au wasiliana nami kwa simu namba 0745900600 pia tembelea tovuti yetu kwa anwani ya www.dkmandai.com ili kuelimika zaidi na masuala ya kiafya.

No comments:

Post a Comment