Thursday, 24 May 2018

Tumia mchanganyiko huu kuondokana na tatizo la nguvu za kiumeMtaalam wa tiba, lishe na virutubisho, Abdallah Mandai akibainisha sababu zinazochangia tatizo la nguvu za kiume.


KARAFUU, tangawizi, udi kala na ambwi ni mchanganyiko ambao unasaidia tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Tatizo la nguvu za kiume linasababishwa na mambo mengi kama maradhi ya moyo, msongo wa mawazo, kisukari, kufanya kazi kwa muda mrefu huku ukiwa umevaa nguo za kubana, kukaa sehemu yenye joto kali kwa muda mrefu na kukabiliwa na madeni.

Mchanyiko huo unasaidia sana kwa tatizo hilo kwa kuwa umesheheni kiwango kikubwa cha madini ya zinki na nyuzinyuzi (fibre) ambavyo vinaamsha testroni inayosaidia mtu kuonekana na tatizo hilo.

Kutumia mchanganyiko huu, changanya kijiko kimoja cha unga wa mchanganyiko huo na vijiko vitatu vya asali. Ni vema mchanganyiko huu ukautumia kwa muda mrefu utaondokana na tatizo hilo.

Mchanganua huu umeletwa kwako nami mtaalam wa tiba, lishe na virutubisho, Abdalallah Mandai.

Kwa anayesumbuliwa na tatizo la kiafya, karibu makao yetu makuu Ukonga Mongo la ndege, Dar es Salaam au wasiliana nami kwa simu namba 0745900600 au tembelea tovuti yetu www.dkmandai.com kupata elimu ya mambo mbalimbali ya kiafya.

No comments:

Post a Comment