Thursday, 24 May 2018

Udi kiboko ya maradhi ya tumbo kwa wanawake


Mwanamke anayesumbuliwa na maumivu ya tumbo yanayosababishwa na hedhi.


WANAWAKE wengi wamekuwa wakikabiliwa na maradhi ya matumbo yanayowanyima raha mara kwa mara.

Hata hivyo, maradhi hayo yamegawanyika katika sehemu mbalimbali, yapo yale yanayosababishwa na hedhi, uvimbe katika via vya uzazi na wakati mwingine pale wanaposhiriki tendo la ndoa.

Pia wale wenye matatizo ya uchafu unaotoka sehemu za siri unaoambatana na rangi, wanahitaji tiba mujarabu ya maradhi hayo. Suluhisho la maradhi hayo ni matumizi ya udinadi, shimal na udi bakarhaji.

Mchanganyiko huu usagwe au kama utapata unga wake uutumie katika uji mwepesi kikombe kimoja cha chai asubuhi na jioni hadi unapoondokana na tatizo lako.

Mchanganua huu umeletwa kwako nami mtaalam wa tiba, lishe na virutubisho, Abdalallah Mandai.

Kwa anayesumbuliwa na tatizo lolote la kiafya, karibu makao yetu makuu Ukonga Mongo la ndege, Dar es Salaam au wasiliana nami kwa simu namba 0745900600 au tembelea tovuti yetu, www.dmandai.com ili kujifunza mambo mbalimbali yanayohusu afya zetu.

No comments:

Post a Comment