Tuesday, 1 May 2018

Unga wa haradali kiboko ya degedege kwa mtotoMtaalam wa tiba, lishe na virutubisho, Abdallah akizungumzia unga wa haradali unavyosaidia matatizo ya degedege kwa watoto.UGONJWA wa degedege unawapata zaidi watoto hasa wanapokuwa na homa kali.

Mtoto anapokuwa na homa kali hushikwa na aina fulani ya kifafa ambapo hufurukuta mikono na miguu, hujipindapinda, hujinyonganyonga au wakati mwingine kutupa macho juu kama mtu aliyekufa.

Ili kutibu tatizo hilo, chukua kijiko kimoja cha unga wa haradali changanya katika lita tano za maji ya moto. Baada ya maji kupoa mwogeshe mtoto aliye na tatizo la degedege.

Fanya hivyo mara tatu kwa siku, endelea na tiba hiyo kwa muda wa siku tano.
Pamoja na hilo ni vema kwa mtu ambaye mtoto wake atakumbwa na tatizo hilo aje makao makuu yetu ambapo atapata maelezo ya kina ya namna sahihi ya kutumia tiba hii ya mimea ili kupata matokeo bora.

Mchanganuo huu umeletwa kwako na Mtaalamu wa tiba, lishe na virutubisho, Abdallah Mandai.

Kwa anayesumbuliwa na tatizo lolote la kiafya karibu makao yetu makuu, Ukonga Mongolandege, Dar es Salaam au wasiliana na Mtaalam Mandai kwa ushauri au kujipatia kirutubisho kwa simu +255745900600 au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.

No comments:

Post a Comment