Monday, 21 May 2018

Wajua uchafu wa bahari ni tiba?


Mtaalam wa tiba, lishe na virutubisho, Abdallah Mandai

KWA wale wanaopenda kutembelea maeneo ya baharini ni dhahili kuwa wameshawahi kuona taka zilizozongwa na maji ya bahari na kuachwa kwenye maeneo mbalimbali ya fukwe.

Huenda wapo wanaoziona kuwa ni uchafu tu ambao unapaswa kuondolewa na kutupwa au kuchomwa ili kuyaacha safi mazingira hayo ambayo wengi wanapenda kutembelea.

Lakini ukweli ni kwamba  taka hizo ni tiba nzuri kwa maradhi yaliyoshindikana kugundulika katika vipimo vya tiba za kisasa. Wataalamu wa tiba asili wamekuwa wakiwaisaidia watu wenye matatizo mbalimbali kwa kutumia taka hizo.

Miongoni mwa magonjwa mengi wanayotibu ni pamoja na kichwa kinachouma sana lakini kimeshindikana kupona kwa kutumia tiba za kisasa.

Namna ya kutumia, taka hizo ziweke katika chombo kisha zichemshe na mtumiaji ajifushe kama nyungu ataondokana na maradhi sugu yanayomsumbua.

Mchanganuo huu umeletwa kwako nami mtaalam wa tiba, lishe na virutubisho, Abdallah Mandai. Hata hivyo, hiyo ni moja tu ya tiba nyingi ambazo mimi naweza kuwasaidia wenye changamoto za maradhi mbalimbali kupitia tiba hii.

Kwa yeyote mwenye tatizo la kiafya asisite kuja makao yetu makuu Ukonga, Mongo la ndege, Dar es Salaam.

Pia unaweza kuwasiliana nami kwa simu namba 0745900600 au tembelea website yetu www.dkmandai.com ili uweze kujuzwa namna mimea tiba inavyosaidia jamii iliyoathirika na maradhi mbalimbali.

No comments:

Post a Comment