Saturday, 12 May 2018

Waziri Ummy Mwalimu akikabidhiwa tunzo ya heshima na Coastal Union kwa kuisaidia kurudi ligi kuu

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (kushoto) akipokea cheti kutoka kwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Klabu ya Coastal Union, Salim Bawaziri ikiwa ni kutambua mchango wake wa kuisaidia timu hiyo kupanda daraja hadi kucheza ligi kuu msimu ujao, tuzo hiyo walikabidhiwa pia Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Mazingira na Muungano, January Makamba na naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso, Asas ya Iringa na Mo Dewji.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu (kushoto) akipokea tuzo ya heshima  ya kutambua mchango wake kwa kuipandisha timu ya Coastal Union kucheza Ligi kuu msimu ujao kutoka kwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Klabu hiyo, Salimu Bawaziri mapema leo kwenye viwanja vya CCM Mkwakwani mjini Tanga wakati alipofungua mashindano ya Ligi ya Banda Cup.


 Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu
akiowanesha wanahabari (hawapo pichani), tuzo aliyokabidhiwa na klabu ya Coastal
Union kwa kuipandisha kucheza Ligi kuu msimu ujao, kushoto ni Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Shinyanga (CCM), Azzah Hamadi Hilali. 
(PICHA KWA HISANI YA BLOG YA KIJAMII YA TANGA RAHA)

No comments:

Post a Comment