Tuesday, 1 May 2018

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu akimjulia hali Mzee Majuto katika hospitali ya Taifa Muhimbili kabla ya kuondoka kwenda kutibiwa nje ya nchi

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu akizungumza jambo na Mchekeshaji mkongwe, Amri Athuman almaarufu kwa jina la  Mzee Majuto mapema juzi, alipokwenda kumjulia hali katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, anakopatiwa matibabu.


Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu akipeana mkono na Mzee Majuto alipokwenda hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa kumjulia hali hapo juzi ikiwa ni siku moja kabla ya jana kusafirishwa nje ya nchi kupatiwa matibabu zaidi.

No comments:

Post a Comment