Wednesday, 16 May 2018

Ziara ya ghafla ya Rais Dk. John Magufuli katika bandari ya Dar es Salaam kukagua matanki ya mafuta ya kula

Rais Dk. John Magufuli akiwasili eneo lenye matanki ya kuhifadhia mafuta ya kula baada ya kushushwa melini alipofanya ziara ya kushtukiza kukagua uingizwaji na ugawaji wa ulipiaji wa ushuru  bidhaa hiyo kwenye bandari ya Dar es Salaam jana Mei 15, 2018.

Rais Dk. John Magufuli akitoa maelekezo na kuuliza maswali alipowasili eneo lenye matanki ya kuhifadhia mafuta ya kula baada ya kushushwa melini kwenye bandari ya Dar es Salaam jana Mei 15, 2018.
Rais Dk. John Magufuli akitoa maelekezo na kuuliza maswali alipowasili eneo lenye matanki ya kuhifadhia mafuta ya kula baada ya kushushwa melini katika ziara yake ya ghafla kukagua uingizwaji na ugawaji wa ulipiaji ushuru  bidhaa hiyo kwenye bandari ya Dar es Salaam jana Mei 15, 2018.

Rais Dk. John Magufuli (wa pili kulia) akipatiwa maelekezo akiwa eneo lenye matanki ya kuhifadhia mafuta ya kula baada ya kushushwa kwenye bandari ya Dar es Salaam jana Mei 15, 2018.

Rais Dk. John Magufuli akitoa maelekezo kwa watendaji akiwa lenye matanki ya kuhifadhia mafuta ya kula baada ya kushushwa melini. Wa pili kushoto ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage, kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Doto James, mwenye kofia ngumu ya njano ni Mkurugenzi wa kampuni ya uingizaji mafuta nchini TLS & VOT, Claudio Ghirardi, Kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Profesa Olesante ole Gabriel anayefuatia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Rais ya kuchunguza mafuta ya Kula na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Profesa Joseph Buchweishaija.

Rais  Dk. John Magufuli akitoa maelekezo kwa Mkurugenzi wa kampuni ya uingizaji mafuta nchini TLS & VOT, Claudio Ghirardi alipofanya ziara ya ghafla kukagua uingizwaji na ugawaji wa ulipiaji ushuru bidhaa hiyo kwenye bandari ya Dar es Salaam jana Mei 15, 2018.
 
Rais  Dk. John Magufuli akitoa pongezi kwa Ben Usage Asubisye baada ya kumpandisha cheo kuwa kamishna kamili kutoka Kaimu Kamishna wa Forodha na Bidhaa za Ndani katika Mamlaka ya Mapato (TRA) alipotembelea  eneo lenye matanki ya kuhifadhia mafuta ya kula baada ya kushushwa melini wakati wa ziara ya ghafla kukagua uingizwaji na ugawaji wa ulipiaji ushuru  bidhaa hiyo kwenye bandari ya Dar es Salaam jana Mei 15, 2018.

Rais Dk. John Magufuli akiondoka eneo lenye matanki ya kuhifadhia mafuta ya kula baada ya kushushwa melini kwenye bandari ya Dar es Salaam jana Mei 15, 2018.

Rais Dk. John Magufuli akisalimiana na wananchi eneo lenye matanki ya kuhifadhia mafuta ya kula baada ya kushushwa melini alipofanya ziara ya ghafla kukagua uingizwaji na ugawaji wa ulipiaji wa ushuru  bidhaa hiyo kwenye bandari ya Dar es Salaam jana Mei 15, 2018.

Rais Dk. John Magufuli akiagana na Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Profesa Olesante ole Gabriel na Mwenyekiti wa Kamati ya Rais ya Kuchunguza mafuta ya Kula na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Profesa Joseph R. Buchweishaija baada ya kumaliza ziara hiyo.

Rais Dk. John Magufuli akizungumza na wananchi nje ya eneo lenye matanki ya kuhifadhia mafuta ya kula baada ya kushushwa melini alipofanya ziara ya ghafla kukagua uingizwaji na ugawaji wa ulipiaji wa ushuru  bidhaa hiyo kwenye bandari ya Dar es Salaam jana Mei 15, 2018.

Rais Dk. John Magufuli akizungumza na wananchi nje ya eneo lenye matanki ya kuhifadhia mafuta ya kula baada ya kushushwa melini alipofanya safari ya ghafla kukagua uingizwaji na ugawaji wa ulipiaji ushuru  bidhaa hiyo kwenye bandari ya Dar es Salaam jana Mei 15, 2018.

Rais Dk. John Magufuli akizungumza na wananchi nje ya eneo lenye matanki ya kuhifadhia mafuta ya kula baada ya kushushwa melini alipofanya ziara ya ghafla kukagua uingizwaji na ugawaji wa ulipiaji ushuru  bidhaa hiyo kwenye bandari ya Dar es Salaam jana Mei 15, 2018.

Rais Dk. John Magufuli akinunua mapapai na ndizi nje ya eneo lenye matanki ya kuhifadhia mafuta ya kula kwenye bandari ya Dar es Salaam jana Mei 15, 2018.

Rais Dk. John Magufuli akigawa mapapai na ndizi kwa wananchi nje ya eneo lenye matanki ya kuhifadhia mafuta ya kula kwenye bandari ya Dar es Salaam jana Mei 15, 2018.
Rais Dk. John Magufuli akigawa mapapai na ndizi kwa wananchi nje ya eneo lenye matanki ya kuhifadhia mafuta ya kula baada ya kushushwa melini alipofanya ziara ya ghafla kukagua uingizwaji na ugawaji wa ulipiaji ushuru  bidhaa hiyo kwenye bandari ya Dar es Salaam jana Mei 15, 2018.

Rais Dk. John Magufuli akigawa mapapai na ndizi kwa wananchi nje ya eneo lenye matanki ya kuhifadhia mafuta ya kula baada ya kushushwa melini alipofanya ziara ya kushtukiza kukagua uingizwaji na ugawaji na ulipiaji ushuru bidhaa hiyo kwenye bandari ya Dar es Salaam jana Mei 15, 2018.  (PICHA NA IKULU)

No comments:

Post a Comment