Monday, 29 April 2019

BAINI FAIDA YA KULA PILIPILI MANGAPilipipi manga ina  umuhimu mkubwa katika mwili wa binadamu.

Inaondoa gesi tumboni, kupunguza tindikali na kumwepusha mtumiaji na hatari ya kukumbwa na shinikizo la  damu.

Kiungo hiki pia ni kinga dhidi aina mbalimbali za maradhi ya saratani na pia kinazuia meno kuharibika.

Pilipili manga inalinda  afya ya ngozi ya binadamu  hususan ya kichwa  na hivyo kuondoa tatizo la  mba  kichwani.

Unaweza kuwasiliana nami kwa 0745900600 iwapo unahitaji ufafanuzi wa jambo lolote ikiwamo huduma zetu.

Au tembelea tovuti yetu kwa anuani ya www.dkmandai.com

No comments:

Post a Comment