Tuesday, 23 April 2019

MAAJABU YA KITUNGUU MWITU

HIZI NDIZO FAIDA ZA KITUNGUU MWITU

Kitunguu mwitu kina manufaa makubwa katika mwili wa binadamu.

Mmea huu zamani ulitumika kuzuia kiharusi na kipindupindu.

Wengi nyakati hizi wanautumia kujitibu magonjwa ya ngozi, homa na kusafisha kikohozi.

Faida nyingine kitunguu mwitu ni kuimarisha mfumo wa kinga dhidi ya tatizo la  beriberi, kuzuia mafuta kutoganda katika damu na kuufanya moyo ufanye kazi yake  kwa ufanisi.

Kitunguu hiki kinatumiwa kikiwa kibichi kwa tiba na  pia kutengenezea saladi tamu.

Babu zetu tangu  zamani walitumia kitunguu hiki kama kiungo lakini pia ni tiba ya magonjwa mengi.

Kitunguu hiki kinaoteshwa kwa kutumia mbegu.

Mmea huu wa tangu zamani ni tiba nzuri ya shinikizo la  damu na vidonda.

Namna ya kutumia: Chemsha majani yake  epua, baada ya kuwa vuguvugu oshea  kidonda na majani funga juu ya kidonda, utaona matokeo mazuri baada ya siku chache.

Kitunguu mwitu pia kinarefusha nywele, saga kikiwa kibichi kisha majimaji yake  paka katika mizizi ya nywele zako, kinachochea kuzirefusha hususan zilizoharibiwa na dawa za kemikali.

Juisi ya majani ya kitunguu hiki changanya na ya kitunguu cha kawaida ni tiba ya mimba.

Zingatia usitumie kitunguu mwitu bila kupata maelekezo kutoka kwa mtaalamu kwani kinaweza kukusababishia usingizi, maumivu ya kichwa  au kuhara.

Ikiwa unahitaji ufafanuzi wa jambo lolote unaweza kuwasiliana nami kwa namba 0745900600 au tembelea tovuti yetu kwa anuani ya www.dkmandai.com

15 comments:

 1. https://livenflhdtv.com/cowboysvsredskins
  https://livenflhdtv.com/cowboysvsredskinslive
  https://livenflhdtv.com/vikingsvspackers
  https://livenflhdtv.com/vikingsvspackerslive
  https://livenflhdtv.com/eaglesvsfalcons
  https://livenflhdtv.com/eaglesvsfalconslive
  https://livenflhdtv.com/brownsvsjets
  https://livenflhdtv.com/brownsvsjetslive

  https://livenflhdtv.com/cowboysvsredskins

  ReplyDelete